Wakaazi katika vijiji kadhaa wameathirika na mvua Taita Taveta

  • | Citizen TV
    Wakaazi kutoka vijiji kadhaa vya Taita Taveta wanazidi kukadiria hasara kutokana na athari za mvua iliyonyesha hapo jana eneo hilo.