Wakaazi Kirinyaga walalamikia visa vya wizi wa ng'ombe kisha zinachinjwa kwa nyama

  • | TV 47
    22 views

    Wakaazi wa eneo la kiurutira, Kaunti ya Kirinyaga wamesalia vinywa wazi baada ya kuupata mzoga wa ng'ombe aliyekuwa ameibwa pembeni mwa barabara ambapo alichinjwa baada ya kuibiwa usiku.

    Mmiliki wa ng'ombe huyo ametaja hasara kubwa ya kumpoteza ng'ombe wake wa maziwa ambaye anadai alikuwa kitega uchumi kwake.

    Wakaazi waomba serikali kuboresha usalama katika eneo hilo.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __