Wakaazi na wafanyibiashara wa Angata Barakoi walalamikia usalama wao

  • | Citizen TV
    306 views

    Wakaazi na wafanyibiashara katika mpaka wa Angata Barakoi, Gwitembe na Ntimaru huko Migori wanaishi kwa hofu na wasiwasi kufuatia visa vya utovu wa usalama katika Maeneo hayo ya mpakani.