Wakaazi na wanaharakati mjini Malindi wataka viongozi waache siasa za kutenganisha jamii

  • | Citizen TV
    222 views

    Wakaazi pamoja na wanaharakati mjini Malindi kaunti ya Kilifi sasa wanawataka viongozi kaunti hiyo kusitisha malumbano na badala yake kusukuma agenda za maendeleo eneo hilo