Wakaazi na wanaharakti wa kijamii Lamu wanalalamikia uhamisho

  • | Citizen TV
    Wakaazi, wanaharakti wa kijamii na viongozi wa kidini kaunti ya Lamu wanalalamikia hatua ya idara ya usalama kwa kumuondoa kamanda mpya wa polisi Issah Mahmoud Hajj aliyehudumu Lamu kwa muda wa juma moja pekee.