Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi Syokimau lawamani dhidi ya ujenzi kwenye maeneo ya mito

  • | Citizen TV
    9,480 views
    Duration: 3:41
    Na sasa tuangazie athari ya mafuriko yanayosababsishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyeasha nchini. Huku wengi wakiitaja kama janga la kimazingira, wakaazi wa mtaa wa Syokimau wanasema kuwa madhila yao yanasabishwa na watu ambao wamejenga kwenye sehemu za mto. Wakaazi hao wameelekeza kidole cha lawama kwa seriali ya kaunti ya machakos kwa kupeana idhini ya unjenzi unaozuia mito na kusababishsia wakaazi madhila hasa kunaponyesha.