Wakaazi Taita Taveta kunufaika na mapato ya asilimia 50

  • | Citizen TV
    48 views

    Ni afueni kwa serikali ya kaunti ya Taita Taveta baada ya Dkt. Rais William Ruto kutoa agizo la kutaka wakaazi wa kaunti hio kunufaika na asilimia 50 ya mapato yanayokusanywa kutoka mbuga ya kitaifa ya Wanyamapori ya Tsavo. Rais Ruto aliamrisha hili alipozuru kaunti hio hapo jana baada ya kuwasilishwa kwa mapendekezo ya viongozi