Wakaazi wa Busia wahimizwa kuzingatia ufugaji wa samaki kwenye vidimbwi

  • | Citizen TV
    159 views

    Wakazi wa kaunti ya Busia wamehimizwa kuzingatia ufugaji wa samaki kwa wingi kwenye vidimbwi ili kukabiliana na uhaba wa samaki.