Wakaazi wa Busia watahadharishwa kuhusu ujenzi wa kiholela

  • | Citizen TV
    93 views

    Wakazi Wa Kaunti Ya Busia Wametakiwa Kuwa Makini Katika Shughuli Za Ujenzi Wa Nyumba Ili Kuepuka Hasara Na Ajali Zinazosababishwa Na Utendakazi Duni. Haya Yanajiri Huku Familia Moja Kutoka Kijiji Cha Muyafwa Eneo Bunge La Matayos Kaunti Ya Busia Ikililia Haki Baada Ya Kampuni Moja Ya Ujenzi Kushindwa Kuafikia Makubaliano Yake Ya Ujenzi Wa Ndani Ya Nyumba Licha Ya Kulipia Gharama Ya Zaidi Ya Shilingi Milioni 2.9 Kukamilisha Shughuli Hiyo.