Wakaazi wa Chasimba kaunti ya Kilifi wapinga ujenzi wa kiwanda cha simiti

  • | Citizen TV
    223 views

    Wakaazi wa eneo la Chasimba kaunti ya Kilifi wamepinga vikali mpango wa kujenga kiwanda cha simiti katika eneo hilo wakisema kiwanda hicho kitaleta uharibifu mkubwa wa mazingira pamoja na madhara kwa afya ya wakaazi hao.