Wakaazi wa Chepchoina walalamikia kufurushwa katika shamba lao

  • | Citizen TV
    205 views

    Wakazi wanaoishi katika makazi ya chepchoina kaunti ya Trans-Nzoia, wamelalamikia kufurushwa mara kwa mara katika mashamba ambayo walipewa na serikali miaka ya 90 na kuwafanya kuishi kama maskwota.