Wakaazi wa Doldol kaunti ya Laikipia waadhimisha siku ya kuangamiza ukeketaji duniani

  • | Citizen TV
    246 views

    Ukeketaji wa wasichana ungalipo licha ya serikali kuweka jitihada kumaliza uovu huo. Wakaazi mjini Doldol kaunti ya Laikipia wameadhimisha siku ya kuangamiza ukeketaji duniani mada ya mwaka huu ikiwa kuwahusisha wanaume katika vita dhidi ya ukeketaji.