- 113 viewsDuration: 1:25Mamia ya wakazi kutoka eneo la Langas jijini Eldoret wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia mpango wa kutoa msaada wa chakula uliolenga kuwezesha familia zisizojiweza haswa akina mama na watu wanaoishi na ulemavu angalau kuwawezesha kusherehekea Krisimasi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya