Wakaazi wa eneo la Kawese Makueni wahofia njaa baada ya kwenye kambi hizo za muda

  • | Citizen TV
    156 views

    Huku mvua ya El-Nino ikiendelea kushuhudiwa katika maeneo mengi nchini wakaazi wa eneo la Kawese kaunti ya Makueni na ambao walihamishwa kwao kutokana na athari za mvua, sasa wanahofia baa la njaa wakiondoka kwenye kambi hizo za muda. Hii ni baada ya mazao waliyokuwa wamepanda kusombwa na maji na kuwaacha bila chakula.