Wakaazi wa eneo la marama, Butere ya kati walalamikia hali

  • | Citizen TV
    225 views

    Wakaazi wa wodi ya Marama ya Kati, eneo la Butere kaunti ya Kakamega wameelezea changamoto ya kupata huduma za afya wakidai wanalazimika kusafiri mwendo mrefu kuhudumiwa.