Wakaazi wa eneo la Migori wasaidika kwa kupata kliniki ya selimundu

  • | Citizen TV
    132 views

    Wagonjwa wa anemia selimundu katika kaunti ya Migori wamepata afueni baada ya kuzinduliwa kwa kliniki ya kwanza katika kaunti hiyo.