Wakaazi wa eneo la Nthingoni kunufaika na huduma za kituo kipya cha polisi cha Nthingoni

  • | NTV Video
    343 views

    Wakaazi wa eneo la Nthingoni katika eneobunge la Kibwezi Mashariki, Kaunti ya Makueni, wanatarajiwa kunufaika pakubwa na huduma za kituo kidogo cha polisi cha Nthingoni kilichojengwa upya kwa ushirikiano wa jamii la eneo hilo

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya