Wakaazi wa eneo la Regen Kinoo wakosa makao kufuatia mvua kubwa iliyonyesha

  • | Citizen TV
    430 views

    Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, mamia ya wakaazi wa eneo la Regen huko Kinoo wameachwa bila makao.