Wakaazi wa Ilmarba katika mbuga ya Amboseli wajengewa mradi wa maji karibu nao

  • | Citizen TV
    64 views

    Mamia ya wakazi wa eneo la Ilmarba katika mbuga ya Amboseli Kaunti ya Kajiado wamepata maji kupitia mradi wa mtambo wa sola. Mradi huo ambao unafadhiliwa na shirika moja la kuhifadhi mazingira unatarajiwa kupunguza migogoro baina ya wakazi na wanyamapori .