Wakaazi wa Irondi walalamikia hatari ya nyaya za stima

  • | Citizen TV
    480 views

    Wakazi wa kijiji cha Irondi maeneo ya Nyanturago kaunti ya Kisii wameelezea wasiwasi wao kufuatia hatari za nyaya za umeme zinazopita juu ya nyumba zao wakisema zinahatarisha maisha yao.