Wakaazi wa Juluk huko Turkana walioathirika na kimbunga wahangaika

  • | Citizen TV
    Wakaazi wa eneo la Juluk ambao waliathirika na kimbunga kilichobomoa nyumba zao na shule siku chache zilizopita wamesalia kuhangaika huku wakihofia usalama na afya ya watoto wao ambao sasa wanaishi katika hali duni.na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel familia zilizokuwa zikiishi kwenye nyumba zaidi ya 60 zilizoharibiwa zinahitaji msaada.