Wakaazi wa Kabete wanalalamikia kukosa huduma za mahakama

  • | Citizen TV
    333 views

    Wakaazi wa Kabete wanalalamikia kukosa huduma za mahakama na za ardhi mika kumi baada ya Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini IEBC kugawanya eneo Bunge la kikuyu na kuunda eneo Bunge la Kabete.