Wakaazi wa Kajiado wamtaka Martha Koome kuchunguza maafisa wa mahakama kwenye mzozo wa ardhi

  • | Citizen TV
    368 views

    Wakazi wa kajiado wanamtaka jaji mkuu Martha Koome, kushinikiza uchunguzi wa maafisa wake wanaosimamia kesi za shamba la kijamii la Keekonyokie.