Wakaazi wa Kajiado wataka sheria ya NG-CDF iharakishwe

  • | Citizen TV
    58 views

    Siku chache baada ya Bunge la Kitafifa kuongoza mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu hazina ya ustawi wa maeneo bunge NG-CDF, wakazi kutoka Kajiado mashariki sasa wanataka mchakato wa kuasisi fedha hizo kisheria kuharakishwa.