Wakaazi wa Kalama waishi kwa hofu kutokana na kujaa kwa bwawa Kwakavwiki.

  • | K24 Video
    525 views

    Kufurika kwa mabwawa sasa ni tishio kwa wakenya wengi wanaoishi katika vijiji mbali mbali. Katika kaunti ya Machakos, wakaazi wa kalama wanaishi kwa hofu kutokana na kujaa kwa bwawa Kwakavwiki. Katika kaunti hiyo hiyo wakazi wa mua na kitanga wamelazimika kukesha nje baada ya nyumba zao kusombwa na maj.