Wakaazi wa Kamtonga Taita Taveta wahofia kufurushwa

  • | Citizen TV
    731 views

    Wakazi zaidi ya 10,000 kutoka eneo la kamtonga eneobunge la mwatate kaunti ya Taita Taveta wanahofia usalama wao pamoja na kutimuliwa kutoka eneo hilo la mpakani