Wakaazi wa kaunti ya Kisii wadai haki baada ya jumba kuporomoka

  • | Citizen TV
    564 views

    Wakazi wa kijiji cha Boyi eneo la Industrial area kaunti ya Kisii wanazidi kulilia haki baada ya ua uliokuwa ukijengwa kuporomoka na kuharibu mali ya thamani isiyojulikana.