Wakaazi wa kaunti ya Nyamira waandaa maandamano kulalamikia kunyanyaswa kwa Margaret Nyakang'o

  • | Citizen TV
    653 views

    Wakazi wa kaunti ya Nyamira wameandaa maandamano ya amani kulalamikia kile walichokitaja kuwa kunyanyaswa kwa mdhibiti mkuu wa bajeti Margaret Nyakang'o.