Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa kaunti za Kisumu, Homa Bay watokea kwa wingi kutizama mwili wa mwendazake Raila Odinga

  • | Citizen TV
    1,907 views
    Duration: 2:31
    Wakaazi wa kaunti za Kisumu, Homa Bay, Migori, Kisii na maeneo jirani walijitokeza kwa wingi kutizama mwili wa mwendazake Raila Amolo Odinga katika uwanja wa Mamboleo. Hata ingawa hafla hiyo ilijawa na majonzi, wengi wao walifika katika uwanja huo ulimsherehekea Raila Odinga kwa kushinikiza kuwepo kwa katiba mpya na demokrasia nchini.