Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Kiembeni kaunti ya Mombasa walalamikia tatizo la maji taka

  • | Citizen TV
    3,101 views
    Duration: 7:07
    Wakaazi wa Kiembeni walalamikia tatizo la maji taka ambayo wasema imekuwa kero kwa muda mrefu. Hali hii yababisha baadhi ya wakazi kuhama makazi yao kwa hofu ya mchipuko wa magonjwa