Wakaazi wa kijiji cha Bokimai Kisii waandamana wakilalamikia ukosefu wa umeme

  • | Citizen TV
    616 views

    Wakaazi wa kijiji cha Bokimai eneo la Tabaka kaunti ya Kisii walifanya maandamano hii leo kulalamikia ukosefu wa umeme. Kijiji hicho kimegubikwa na giza kwa miaka miwili sasa baada ya transfoma kuharibika