Wakaazi wa kijiji cha Nene, katika kaunti ya Nyandarua walalamikia hali mbovu ya barabara

  • | Citizen TV
    151 views

    Waakazi wa kijiji cha Kwa Nene, eneo la Kinangop kaunti ya Nyandarau wanalalamika barabara mbovu ambazo hazijakamilika kujengwa. Wakaazi hawa sasa wakimtaka Gavana wao Moses badilisha kumchunguza mwanakanadarasi aliyepewa kazi hii kuhakikisha mradi huu unakamilika.