11 Mar 2026 1:13 pm | Citizen TV 130 views Duration: 1:57 Wakaazi wa eneo la Mikiryani eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi wanaomba wahisani kurekebisha mapaa ya shule ya msingi ya Mikiryani kwa hofu ya uharibifu kutokana na upepo mkali unaoambatana na mvua.