Wakaazi wa Kipini waandamana kufuatia madai ya unyakuzi

  • | Citizen TV
    87 views

    Wakaazi wa kijiji cha kipini Kaunti ya Tana River wameandamana kutokana na madai ya kunyakuliwa kwa ardhi ya ekari 10,000 huku wakishtumu maafisa wa serikali kwa kufanikisha unyakuzi huo