26 Aug 2025 10:37 am | Citizen TV 221 views Duration: 2:02 Wakaazi wa kijiji cha kipini Kaunti ya Tana River wameandamana kutokana na madai ya kunyakuliwa kwa ardhi ya ekari 10,000 huku wakishtumu maafisa wa serikali kwa kufanikisha unyakuzi huo