Wakaazi wa Kipkelion wailaumu serikali kwa kutoikarabati daraja lililobomoka miaka mitatu iliyopita

  • | NTV Video
    567 views

    Wakazi wa kijiji cha Kipkeremwo katika eneo bunge la Kipkelion Mashariki wameelezea ghadhabu zao dhidi ya serikali ya kitaifa kupitia Mamlaka ya Barabara za Vijijini (KERA) pamoja na serikali ya kaunti ya Kericho kwa kushindwa kukarabati daraja lililobomoka miaka mitatu iliyopita.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya