Wakaazi wa Laikipia wataka serikali kukomesha uvamizi wa mifugo

  • | Citizen TV
    235 views

    Wasimamizi wa shamba la mifugo na hifadhi ya wanyama wa pori la Mugie katika eneo bunge la Laikipia Kaskazini wanaitaka serikali kuongeza kasi na kuwasaka wavamazi wa mifugo waliovamia shamba hilo na kutoweka na ng'ombe 266.