Wakaazi wa Lamu waitaka KPA kuwapa mafunzo kuhusu biashara bandarini

  • | Citizen TV
    640 views

    Wakaazi Wa Lamu wameitaka halmashauri ya bandari nchini KPA kuwapa mafunzo kuhusu biashara zinazohusiana na bandari ili waweze kupata ajira na kufaidi kutokana na rasilmali ya bandari ya lamu. na kama anvyotueleza Abdulrahman Hassan wakaazi hao sasa wanataka kuhusushwa kikamilifu katika masuala ya maendeleo ya Bandari ya Lamu na ajira bandarini..