Wakaazi wa Lamu wanalamikia changamato za umeme

  • | Citizen TV
    178 views

    wakazi wa Kiunga eneo lililoko Mpakani mwa Kenya na Somalia kaunti ya Lamu wameishi kwenye giza kwa zaidi ya siku 95 sasa kufuatia changamoto za ukosefu wa umeme eneo hili.