Wakaazi wa Magarini wataka bunge la kaunti ya Kilifi kutatua mzozo wa ardhi uliopo baina ya jamii

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakaazi wanaoishi maeneo ya chakama, bungale, chamari na Adu Magarini kaunti ya kilifi wamewasilisha ombi lao katika bunge la kaunti ya Kilifi, ili bunge hilo liweze kuingilia kati mzozo wa ardhi uliopo baina ya jamii hizo na shirika la kilimo la ADC. Kulingana nao, mzozo huo umekua kwa muda licha ya juhudi za wakaazi za kutaka suluhu kupatikana kugonga mwamba.