Wakaazi wa Maituluk Kimilili kaunti ya Trans Nzoia wadai mgao zaidi wa fedha za wadi

  • | Citizen TV
    161 views

    Wakazi wa wadi ya waitaluk eneo bunge la Kiminini kaunti ya Trans Nzoia wanataka mgao wa pesa za kustawisha wadi kutolewa kulingana na ukubwa na idadi ya watu katika kila wadi ili wanufaike kikamilifu.