Wakaazi wa Maparasha huko Kajiado ya kati waandamana kupinga ada mpya ya maji

  • | Citizen TV
    63 views

    Mamia ya wakazi kutoka eneo la Maparasha huko Kajiado ya kati waliandamana wakipinda ada mpya ya maji baada ya kusambaziwa bidhaa hiyo muhimu.