Wakaazi wa Mariguini eneo la Nairobi South watoa maoni yao kuhusu ujenzi wa nyumba za bei nafuu

  • | Citizen TV
    465 views

    Wakazi wa mtaa wa mabanda wa Mariguini eneo la Nairobi South walihudhuria kikao cha kutoa maoni kuhusu ujenzi wa nyumba za kisasa eneo hilo.