Wakaazi wa Mbajone kaunti ya Meru waandamana kulalamikia madai ya unyakuzi wa ardhi ya umma

  • | Citizen TV
    184 views

    Wakaaji wa Mbajone, wadi ya Mwanganthia kaunti ya Meru wameandamana hadi dani ya shamba la ekari 27 ambalo wanadai lilitengwa kuwa ardhi ya umma ila kwa sasa linamilikiwa na mtu binafsi. hata hivyo, chifu wa eneo hilo amefafanua kuwa shamba hilo ni mali ya mtu binafsi na wala si kama wanavyodai wakazi hao.