Wakaazi wa Meru wataka sera ya kuajiri wafanyikazi ibadilishwe

  • | Citizen TV
    169 views

    Bunge la Kaunti ya Meru limepitisha Mswada wa ajira na huduma za umma. Mswada huo uliowasilishwa na Mwakilishi wadi maalum Zipporah Kinya , unalenga kuishinikiza kaunti ya meru kukabiliana na changamoto za ajira, ikiarifiwa kuwa kaunti hiyo ilitumia shiligi milioni 110 kuwalipa wafanyikazi kwa mujibu wa ripoti ya mdhibiti wa bajeti.