Wakaazi wa Meto, Kajiado ya Kati walilia maendeleo

  • | Citizen TV
    68 views

    Wakazi Wa Eneo La Meto Kajiado Ya Kati, Wametoa Wito Kwa Viongozi Na Serikali Kuanzisha Miradi Ya Maendeleo Katika Maeneo Hayo Kama Vile Ujenzi Wa Barabara Na Usambazaji Wa Umeme. Nancy Kering Na Taarifa Hiyo