Wakaazi wa Migori wahangaika kupata maji safi kwa muda mrefu

  • | Citizen TV
    58 views

    Maji safi ya matumizi kwa wakaazi katika kaunti ya Migori yamekuwa na changamoto si haba. Hali ambayo imesababisha mkurupuko wa Magonjwa kama kipindupindu ambayo yanaenezwa kupitia matumizi ya maji chafu