18 Mar 2026 1:07 pm | Citizen TV 1,235 views Duration: 2:09 Wakaazi wa mjambere eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano wakilalamikia kubakwa na kisha kuuawa kwa mtoto wa miaka kumi na mmoja siku nne zilizopita.