Wakaazi wa Mkaomoto, Kilifi, walalamikia unyakuzi wa ekari 70

  • | Citizen TV
    Wakaazi wa eneo la mkaomoto mjini malindi, kaunti ya Kilifi wamelalamikia kuhangaishwa na maafisa wa usalama kuhusu utata wa ardhi ya ekari 70 inayodaiwa kunyakuliwa na bwenyenye mmoja. Hata hivyo kamati ya usalama chini ya uongozi wa mwenyekiti wa usalama kaunti ndogo ya malindi Thuo ngugi imetetea maafisa hao Kwa misingi kuwa wanatekeleza amri ya mahakama.