Wakaazi wa Mombasa wavurugana na maafisa wa kaunti dhidi ya uuzaji wa Muguka

  • | TV 47
    177 views

    Makabiliano makali yalizuka leo katika kaunti ya Mombasa wakati ambapo trela inayosafirisha muguka kutoka kaunti ya Embu iliwasili kwenye kaunti hiyo. Makabiliano hayo yalizuka wakati ambapo maafisa wa serikali ya kaunti walijaribu kuzuia kuingia kwa trella hizo kwenye kaunti ya Mombasa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __